Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
The Game status yake ikoje..
maana nampenda hadi naumwa
maana nampenda hadi naumwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The Game status yake ikoje..
maana nampenda hadi naumwa
Watu kama wewe ni Muhimu sana hapa JFMa rapper washindanishwe ku rap.
Utajiri shindanisha wawekezaji kina Warren Buffet.
Hapo kuna Dr. Dre ambaye kaingia katika hiyo list kwa sababu ya headphones zake, siyo mauzo ya album.
Vivyo hivyo P Diddy anauza mpaka pombe.
Hawa labda muwaite wafanyabiashara wanaotumia rap ndiyo list ieleweke.
Mkuu, dr dre ni mfanya biashara mzuri ...alikua na headphones zake alikua akiziita Beata by Dr Dre lakin baadae akauza kwa kampuni ya Apple hapa ndo alipiga pesa ndefu sana.
kumbuka utajiri ulipamba moto baada ya kuuza ile bit by Dredaaah,kumbe Dre still ana ukwasi wa kutosha eeeh?
haaaà I do.. kwani kuna ubaya NN?Kumbe nawe unawapenda waUSA eh?
USA baby View attachment 412763 View attachment 412764 View attachment 412765
haaaà I do.. kwani kuna ubaya NN?
Sina maana hiyo Mkuu.. Nikiona wanavyokuzwa alafu salioMkuu hizi figure unasema si hela nyingi! Mkuu HONGERA sana.
[emoji2][emoji2][emoji2] Game ana vipesa madafu ana kama dollar 25m, sasa ivi anabwabwaja na wakina meek mill.The Game status yake ikoje..
maana nampenda hadi naumwa
Kwani hao aliowataja baba zao wanazo... Punguza JAZBADah mwanangu babako anazo kama hizo?
The game hayupo hata 20 top ..The Game status yake ikoje..
maana nampenda hadi naumwa
Hata Bill Gates muweke Waren Buffet na Carlos Slim Helu kwa pamoja hawana hiyo 1.5 Trilioni kwa hela ya Kimarekani acha kutudanganyaya kimarekani siyo ya Tz
Hio trilion 1.5 ni tanzania shillings..Hata Bill Gates hana hiyo 1.5 Trilioni kwa hela ya Kimarekani acha kutudanganya
Najua ni TShs mkuu huyo jamaa niliye m quote ndio kamdanganya jamaa mmoja hapo juu kwamba ni 1.5T DollarsHio trilion 1.5 ni tanzania shillings..
Mkuu unapost na wewe uonekane umepost au vipi kaka[emoji15] ....Dr Dre akiwa aged 16 alishamtemesha mtu mate wewe unasema hana mtoto?u must be kidding dude!dokta dre hana hata mtoto wa kusingiziwa ana matatizo gani?
Loooooooooooh hii list ni ya uongo uongo uongo, ao wakina wayne, eminem awana pesa ndogo ivyo.Sasa wajameni ile list ilikua ya mwezi wa MAY 2016 nimepata list ya SEPTEMBER 2016...na ni kama ifuatavyo....
20. Rick Ross -- 10$million
20. Ludacris --10$million
19. Swizz Beatz -- 10.5$million
18. Eminem -- 11$million
17. Snoop Dogg-- 12.5$million
14. Ryan Lewis-- 14$million
14. Lil Wayne -- 14$ million
14. J.Cole -- 14$million
13. Asap Rocky -- 14.5$million
12. Dj Khaled -- 15$million
11.Kanye West --17.5$ million
10. Birdman -- 18$million
9.KendricLamar-18.5$million
8.PharelWilliams-19.5$million
7. Pitbull -- 20$million
6. Nicki Minaj -- 20.5$million
5. Wiz Khalifa -- 24$million
4. Drake -- 38.5$million
3. Dr.Dre -- 41$million
2. Jay Z -- 53.5$million
1. P. Diddy -- 62 $million