Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Hahahahahaha nimecheka sana jamani..ila familia za kimaskini jaman wanajua kusimanga..khaa....yaan itaanzishiwa tu vibifu wakutoe kwenye reli🤣🤣!Mwenzangu maisha haya. Muda wote mnakua na wasi wasi wa kuombwa hela mara kuwaza soda zisije kuisha au kina nanilii kuiba minofu ya kuku. Bado wale team mirinda nyeusi kutwa kutumwa tumwa. Mtu anaona ya nini haya si bora nibaki nilipo
Vipi? Mnakula tu matangoKwani Jiwe kaonekana au?
Hahahahahaha nimecheka sana jamani..ila familia za kimaskini jaman wanajua kusimanga..khaa....yaan itaanzishiwa tu vibifu wakutoe kwenye reli🤣🤣!
Kwani Jiwe kaonekana au?
Hahahahhahahaa...dah..maisha haya🤣🤣🤣Kuna sehemu hadi wa leo sina hamu ya kwenda,unakula wanakuangalia mdomoni huku ukilaumiwa unatafuna vibaya kisa wamepika wao msosi ati mbona kwako hautafuni hivi😂😂😂😂😂
Nahisi wewe ndiye fred [emoji38][emoji38]ndio yeye
We una undugu na mwendazake?Kunakitu Balentine, absolute vodka,jack Daniel's , hahaaaa.
Acha mzee ale maisha.
Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Kunakitu Balentine, absolute vodka,jack Daniel's , hahaaaa.
Acha mzee ale maisha.
Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Eeeenhe Heee.Sijui ni wapi ila nafikiri wamejumuika pamoja kama ishara ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka, bila shaka hawakusherehekea kama tulivyoelekezwa na Mamlaka.
View attachment 1743440
Amefia Ikulu mwingine!. Yule mama mwenye mtoto wake Mbunge chizi alisema, 'Bora amehamia upinzani akafie huko asituletee gharama za mazishi CCM' Akafa yeye Kwa ajali ya gari, Ubunge akapewa mwanae mgonjwa WA akili.Maisha ni fumbo. Mara oh Lowasa anataka afie ikulu, mara Lowasa ni mgonjwa, n.k. Pamoja na yote, Lowasa huyo hapo. Yu mzima akifurahia na uzao wake.
Kuna wakati niliwahi kulaa naye kwa muda mfupi, nilistaajabu jekima ya Lowasa. Yanaweza kusemwa mengi, ukweli ni kuwa huyu mzee ana Roho wa Mungu.
Mungu wetu, tunamwomba aendelee kumjalia maisha ya furaha katika uzee wake Mzee Lowasa. Shule za kata ni wazo lake, na alilisimamia hasa. Mradi wa maji kutoka ziwa Victoria ni uamuzi na dhamira yake. Alikuwa kiongozi mwenye uthubutu na mwenye hekima.
Sas familia zetu tungekuwa tumenunua mizinga 2 ya konyag na k vant 1 kubwa na balimi za moto mradi mlewe haraka kupunguza gharama..hahaa mbuzi mnaambiwa mle kidg na kesho ni siku😅Huko uani lazima kuna vi mnyama mbuzi vinachomwa ili kuja ku neutralize hiyo alcohol kwa tumbo. Dah maisha mengine matamu sana
Kwani selina alikufa kwa ajali? Au unamsemea yupi..maana Mlingwa ndo pysc bungeniAmefia Ikulu mwingine!. Yule mama mwenye mtoto wake Mbunge chizi alisema, 'Bora amehamia upinzani akafie huko asituletee gharama za mazishi CCM' Akafa yeye Kwa ajali ya gari, Ubunge akapewa mwanae mgonjwa WA akili.
Ok nimechanganya na Yule mama alipata ajali huko Iringa. Huyu mama nimekumbuka ni kansa. 🙏Kwani selina alikufa kwa ajali? Au unamsemea yupi..maana Mlingwa ndo pysc bungeni
Yes...Ok nimechanganya na Yule mama alipata ajali huko Iringa. Huyu mama nimekumbuka ni kansa. 🙏
Lakini tuweke mengine pembeni.ndio yeye