Picha: Lowassa akiwa na familia yake

Picha: Lowassa akiwa na familia yake

Sijui ni wapi ila nafikiri wamejumuika pamoja kama ishara ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka, bila shaka hawakusherehekea kama tulivyoelekezwa na Mamlaka.

View attachment 1743440
katika wanasiasa waliovuma 2000 mpaka 2015 ni mzee huyu na ameweka rekodi ya kutukanwa na upinzani na kupewa majina yote mabaya kuliko mwanasiasa yeyote yule lakini bado ndiye waliye kuja kumsafisha na kumfanya mgombea wao na ikapelekea ccm wageuke kumdhalilisha kwa kejeli za kila namna na matusi ilifikia watu kusema atafia ikulu, na baadhi waliotabiri kifo chake walishakufa na kumwacha hai. na ndiye mwana siasa aliye onyesha ndoto ya kuutaka u-Rais toka kipindi Nyerere yupo hai mpaka 2015 aliishi katika ndoto yake. kuna mengi ya kujifunza kutoka kwa mzee huyu na kubwa ni busara na uvumilivu na hekima kwani katika tuhuma zote walizomtwisha hakuwahi kujibu kwa jeuri wala kiburi cha pesa zake lakini pia hakuna tuhuma iliyodhibitishwa pa sipo shaka kama ni kweli mpaka sasa zimebaki tuu kama umbea uliotumika kumchafua ili asifikie ndoto yake
 
Sijui ni wapi ila nafikiri wamejumuika pamoja kama ishara ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka, bila shaka hawakusherehekea kama tulivyoelekezwa na Mamlaka.

View attachment 1743440
Wapiga ramli wabaya sana.Walizusha kuwa kamfuata Jiwe kusaidia kuongoza malaika.
Kumbe mzee yuko vizuri.Anagonga chombo aina ya Jack Daniels
 
Lowassa Mkristo ndio maana hajaweza kuwa raisi ..nchi hii viongozi ni Waislamu na Catholics...Ila siku ikipata raisi Mkristo itapaa Sana ..povu ruksa..
Kwa wenye kuijua historia ya kanisa na kanisa katoliki.Ukatoliki siyo dini ya kikristo.Ni dola ya Rumi ilijibadilisha tu.Niishie hapo kidogo...povu ruksa.
 
Ndo huyu huyu Chadema walimuweka kwenye list of shame na wakamtangaza kwa mbwembwe pale mnazi mmoja halafu wakafanya kuwa ndo mgombea wao wa urais na Tundu akasema Chadema wako tayari kushirikiana hata na shetani ili kuiondoa CCM madarakani.
Hao ndo Chadema ambayo mgombea wao aliamua kushirikiana na shetani kawa shoga ili kuwa rais.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Nakuonya kwa mara nyingine acha kejeli zako hapa. Waliomkejeli Lowassa wako wapi?? Nilimuonya Bia yetu hakunisikia yuko wapi hivi sasa??
 
Back
Top Bottom