Picha: Lowassa akiwa na familia yake

Hata tuliompa Kura tulijua na zile kebehi ndio zilifanya watu wampe Kura ni kweli alikuwa mgonjwa kama Jiwe alivyokuwa mgonjwa. Uhai ni tunu ya MWENYEZI sio binadamu.., pamoja na udhaifu wake ona mama na watoto walivyo na furaha.
 
Kwani huyo wa kwenu alishinda kwa kura halali?
 

hili ni funzo kwamba tafuta hela,wacha kusikiliza story nani kasema kipi.

mzee wa chato amelala kaburini,mkewe analipwa mpaka kifo,watoto wanatunzwa,na wana uhakika wa maisha mpaka wapate utashi.

wewe mwenzangu na mimi endelea kuhesabu wanaokufa kabla ya wengine.
 
... walisema kajinyea huku "mwamba" akimpigia push-ups kuithibitishia dunia alivyo "mzima" ilhali viungo muhimu vya ndani vinaendeshwa kwa codes za mabeberu! Ila Mungu, daaah; mwacheni aitwe Mungu peke yake.
Allah fundi sheikh
 
Lowassa Mkristo ndio maana hajaweza kuwa raisi ..nchi hii viongozi ni Waislamu na Catholics...Ila siku ikipata raisi Mkristo itapaa Sana ..povu ruksa..
Mmmh so Catholics are not christians
 
Ila mazee k vant noma sana,hii picha naona mawingu mawingu tu sijui hata Mama salma kikwete amekaa upande gani hapo.
Kweli K Vant , nilionywa nisinywe pombe ya bei rahisi , nadhani leo nimeelewa
 
Hasira zote za jiwe kwa wanachi zilitokana na hasira ya kupigwa chini na lowassa kwenye sanduku halali LA kura,kale ka judge lubuva kakapindua.
 
Lowasa anazidi tu kupendeza nakuwa kijana na afya yake ina imarika
Ni Kijana kuliko kikwete,sema Yale ma life style yao ya kupiga raha toka akiwa mkurugenzi Wa Aicc ndo yamfikisha hapo yani mtibwa kama yote hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…