Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Halafu fikiria kwenye ukoo wenu wangapi wanatumia tecno wakiwemo wazazi wako Kaka na dad's wote madishi yameyumbaMkuu nimecheka mpaka sana sijui umewaza nn mpaka ukaona watu wenye tecno madishi yameyumba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa ni endemicWacheni asherehekee kwa maana tuko katikati ya Pandemic hatujui kama tutatoboa ama la.
Nilidhani nitamuona Jane Lowassa wa JF.Nimemwona LOWASSA wa jf
Hasira zote za jiwe kwa wanachi zilitokana na hasira ya kupigwa chini na lowassa kwenye sanduku halali LA kura,kale ka judge lubuva kakapindua.
Umasikini ni kitu kibaya sana,
Vijana tupambane.
Ukiwa huna pesa hata ukimfukuza nzi hakimbii, anaona kama mnacheza.Ukiwa na hela raha sana maana familia inakua pamoja,ukisema sikukuu mnakuja nyumbani wanawahi fasta. Ila kajamba nani hawezi ita watoto wote wakaitikia wito sikukuu kama hii
Acha utani huo mkuu utachomoka mwenyeweKwanza huyu mzee hata hajui kama Magufuli amekata upepo
What a good moment to see a family union with wide smiles on the facesSijui ni wapi ila nafikiri wamejumuika pamoja kama ishara ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka, bila shaka hawakusherehekea kama tulivyoelekezwa na Mamlaka.
View attachment 1743440
Huyo mrembo hapo nyuma mwenye blue na nyekundu nilikutana Nayo lengai bar pale Saba Saba maonyesho mle ndani wiki km tano hivi nyumaSijui ni wapi ila nafikiri wamejumuika pamoja kama ishara ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka, bila shaka hawakusherehekea kama tulivyoelekezwa na Mamlaka.
View attachment 1743440
Wabongo hawana hiyana, kitaani kwangu zilizagaa taarifa kila kona kuwa mwamba kawa wa baridi na kashahamia kwenye mbao, kumbe ni wazushi washindwe na wakome kwa uzishi wao.Sijui ni wapi ila nafikiri wamejumuika pamoja kama ishara ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka, bila shaka hawakusherehekea kama tulivyoelekezwa na Mamlaka.
View attachment 1743440
Ili Coronya imnase.Ningekua Lowassa ningewatembelea wajane, na kuwapa pole.
Na ningezuru kaburi la Mtupoli "MAKUSUDI TU"
[emoji2231][emoji2228][emoji2231][emoji2228][emoji2231][emoji2228][emoji2231][emoji2228][emoji2228][emoji2231]
mzee ananyonya wiskey ngumu. brand nene.Umeona Jack Daniels tupu hapo!! Angekuwa mgonjwa angekuwa amelala!!
Naona kuna k.vant hapo nadhani itakuwa yake anaserereka nayoSijui ni wapi ila nafikiri wamejumuika pamoja kama ishara ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka, bila shaka hawakusherehekea kama tulivyoelekezwa na Mamlaka.
View attachment 1743440