Picha: Lucy Komba ndani ya selfie

Binamu unanitafuta? Nikisema ukweli mnasema mie mchawi, we aya tu, chige yuko wapi? Au ndo yupo kwa chibu anamsaidia kuamisha vyombo?

Yaan hapo utakuta kaambiwa umependezaaa
 
Last edited by a moderator:
Hivi umeisha mpa binamu mchongo wa USA?Ila kwa umbea hata visa tunaweza tusipate

Alivyo na roho mbaya huyo anipe wapi? Ebu nipe mwenzangu nikawaone akina nelly na kerrueche nipige nao picha, watakomaje humu nikirudi? Full mipichaa
 
Alivyo na roho mbaya huyo anipe wapi? Ebu nipe mwenzangu nikawaone akina nelly na kerrueche nipige nao picha, watakomaje humu nikirudi? Full mipichaa

Mmmh hakuna kwendaaa,la sivyo utawesa kunyamazaa?..
 
Mh muke ya mudhungu mbe.gu zilikuwa na nguvu ndogo nini!!!? Maana huyo mtotooooo...
 
Alivyo na roho mbaya huyo anipe wapi? Ebu nipe mwenzangu nikawaone akina nelly na kerrueche nipige nao picha, watakomaje humu nikirudi? Full mipichaa

Je unaweza kulea watoto?
 
Wadada fanya kupita ladytiger_fashions instagram na Facebook ujionee vya ukweli kuanzia beach, club, ofisini, casual hadi vya ukweni
Kaka wapendezeshe uwapendao... Umaridadi huficha umasikini njoo huku hutojutia... Ni dhambi mbaya kukosa kuvutia na suluhisho lipo
 
Muke ya mzungu aka lucy komba (pichan ) akiwa kaweka pozi matata, pamoja na mtoto wake wa kiume. Ila lucy sio kwa pozi hilo, na ilo jicho vipi tena? Au ndo matunda ya ndoa? By the way tumemis wedding yako matata pamoja na galaxy yako

Hivi huyo ndo mtoto wa kizungu?
 
Sijampa halaf huyo stuna hata sijamuona huyo warumi ni wa kubaki tu hakuna kwenda nae

Naenda kulala makaburini leo uchii kama hyo visa utapata fyuuuu mie ndo warumi *****
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…