Picha: Lucy Komba ndani ya selfie

Picha: Lucy Komba ndani ya selfie

Sasa mada ni kapendeza au kaolewa na mzungu? Natafuta issue siioni. Kama nyani ngabu alivyouliza kwani huyu ni nani?
 
Ha ha poa tu.... Tunasubiri kufufuka kwa mwokozi wetu Yesu Kristo.

Anaomba nauli kwa mjomba, si unajua masafa si ya kitoto yale?

Labda mkizichangachanga kwa kina Gwajima na Kakobe anaweza kupata tiketi inayomfaa.
 
Back
Top Bottom