Indeed I am not your level.
You are steeped too low in idiotic censorship to be on my level.
Hhhaaa ningepita kama sioniiii
Hebu jifunze uko ukienda kwa mmeo mnaongea kisukuma na wadosi?
Mmmhhhh 🙈🙈🙈🙈
Teh teh teh......Braza!!!!
Niambie.
Rudisha ile avatar ya kishungi bwanaa
👸👸hata sijui ipo wapiii
Unafanyia kusudi wewe
Aaaa tenaa ngoja niweke yangu kabisaa
selfie wamuachie Chaga Bebi
Ndo nani huyu?
Anajing'arishaga nae loo kuna picha mashavu yamemjaa kama mimba ya panya
hahahahah na nyingine kavimba pua kama ngumi ya Sintah
:car:
Ha ha poa tu.... Tunasubiri kufufuka kwa mwokozi wetu Yesu Kristo.