Picha: Lucy Komba ndani ya selfie

Picha: Lucy Komba ndani ya selfie

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Muke ya mzungu aka lucy komba (pichan ) akiwa kaweka pozi matata, pamoja na mtoto wake wa kiume. Ila lucy sio kwa pozi hilo, na ilo jicho vipi tena? Au ndo matunda ya ndoa? By the way tumemis wedding yako matata pamoja na galaxy yako
 

Attachments

  • 1427275003307.jpg
    1427275003307.jpg
    61.3 KB · Views: 4,223
Mhh hii picha utadhani katoka kupuliza moto.
 
yaani huyu Lucy asiwe anapiga selfie.........,
nashangaa watu wanaomsifia eti beautiful lol

Sema wewe binamu, akisema warumi ataambiwa mchawi, sio sura ya selfie jamani, hawa bongo movie mambo mengine hawataki yawapite kabisa, hii sura kwa kweli hapana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom