Picha: Lulu amepata wapi hizi hela?

Picha: Lulu amepata wapi hizi hela?

Yaani ulimbukeni mwingine shida sasa sisi watu watakukuru tukianza kukufwatilia sijui utasemaje maana rushwa ya ngono hatari wazee wa TRA faster mumpe kimashine huyu awe anakatia watu risiti ili alipe kodi nenda shule wewe
 
Yaani hapo kuhusu tra na serikali unanikumbusha mbali hadi nataka kulia, mwenyewe nina kabiashara kangu niwekea kabango kangu ka uzushi juu ya paa, jana wamekuja watu wa jiji wananiambia natakiwa kulipa 230,000 hiyo ni charge ya miaka miwili pamoja na fine, wamenipa week 1 nikishinwa wanakuja kulitoa hapa nimechanganyikiwa
 
unauliza kapatiwapi hela....?wakati huyu ni msaniiwa maigizo sijui senema za kiswahili nazo eti zinalipa sana... pia huyu ni mjasiliamwili....!
 
Jibu simple alilotoa mpk raha
 
Attachments

  • 1410345009601.jpg
    1410345009601.jpg
    84.1 KB · Views: 330
Back
Top Bottom