Lulu ameokoka? Hiyo movie kwanza imekaa vipi?Baada ya kushinda tuzo ya ‘Best Movie East Africa’ @elizabethmichaelofficial siku ya jana aliweza kuhudhuria ibada katika kanisani la Living Water Centre (Kawe Makuti) likiwa chini ya Mtume ‘Enesmo Ndegi’ kutoa sadaka ya shukrani kwa Mungu aliyemuwezesha kupata ushindi wa tuzo.
“Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu pamoja Baba na Mama hakika sijutii kuokoka kwangu na ata wakisema vyovyote I don’t care mimi ni mradi namuomba Mungu na mambo yangu yanaenda.” Lulu
View attachment 331957
Mkuu nimecheka sana hii comment yakodah, ila kweli kadri tunavozidi kwenda mbele mnazidi kukua na kumfikia Mungu urefu, nadhani bdo kidogo watu mtaanza kumwita mjomba enu sasa.
Hako kadgo kama ni kamefikia hatua hyo, kameamua kumshushia heshma Mungu vya kutosha, yan itaonesha kuwa Mungu aliposema watakao ingia mbinguni ni waliokoka bas hatukumuelewa hii kauli, kama tulielewa basi tuna kamzizi ka kiburi.Mkuu nimecheka sana hii comment yako
Semeni nyie bhana si wengine tukisema wanadai eti tunahukumuHako kadgo kama ni kamefikia hatua hyo, kameamua kumshushia heshma Mungu vya kutosha, yan itaonesha kuwa Mungu aliposema watakao ingia mbinguni ni waliokoka bas hatukumuelewa hii kauli, kama tulielewa basi tuna kamzizi ka kiburi.
Hata huo uvaaji kwa kanisa linaloheshimika ni 'questionable'.Kwaajili ya movie ya UZINZI ya MAPENZI Lulu alipata Tuzo. Dini zetu zinaanguka kwa tamaa ya fedha