Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,592
Ha ha ha! Mkuu, Mungu ni Mwema.kanisa lako liko wap mchungaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha! Mkuu, Mungu ni Mwema.kanisa lako liko wap mchungaji?
Baada ya kushinda tuzo ya ‘Best Movie East Africa’ @elizabethmichaelofficial siku ya jana aliweza kuhudhuria ibada katika kanisani la Living Water Centre (Kawe Makuti) likiwa chini ya Mtume ‘Enesmo Ndegi’ kutoa sadaka ya shukrani kwa Mungu aliyemuwezesha kupata ushindi wa tuzo.
“Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu pamoja Baba na Mama hakika sijutii kuokoka kwangu na ata wakisema vyovyote I don’t care mimi ni mradi namuomba Mungu na mambo yangu yanaenda.” Lulu
Umeonaeee,hapo madhabahuni tu mchungaji yuko hoi,naona amesahau kuwa yuko mbele ya waumini.mwenzangu ngoja mama mchungaji amsikie, atafanya lulu afukuzwe kanisani, maana kale katoto kana pepo la kuiba waume za watu jamani
Ndio, upo sahihi....hata Mi namshangaaNaomba kuwauliza nyie. Si vitabu nyenu vinasema Yesu alikuja kuwaokoa watenda dhambi? Sasa lulu si ajabu kaokoka jana, hapo tatizo li wapi?