Picha: Lulu atoa sadaka ya shukrani kanisani

Picha: Lulu atoa sadaka ya shukrani kanisani

when i see Lulu i see the blessed virgin of almighty, in short ni Biharusi wa Bwana,Glory be to the Highest.
 
Baada ya kushinda tuzo ya ‘Best Movie East Africa’ @elizabethmichaelofficial siku ya jana aliweza kuhudhuria ibada katika kanisani la Living Water Centre (Kawe Makuti) likiwa chini ya Mtume ‘Enesmo Ndegi’ kutoa sadaka ya shukrani kwa Mungu aliyemuwezesha kupata ushindi wa tuzo.
“Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu pamoja Baba na Mama hakika sijutii kuokoka kwangu na ata wakisema vyovyote I don’t care mimi ni mradi namuomba Mungu na mambo yangu yanaenda.” Lulu

Bwana asifiwe Lulu!!

lol....
 
mwenzangu ngoja mama mchungaji amsikie, atafanya lulu afukuzwe kanisani, maana kale katoto kana pepo la kuiba waume za watu jamani
Umeonaeee,hapo madhabahuni tu mchungaji yuko hoi,naona amesahau kuwa yuko mbele ya waumini.
 
Back
Top Bottom