Picha: Lulu atoa sadaka ya shukrani kanisani

hilo gauni bayaaa mfyuuu
 
Kanisa linapromotiwa na malaya! Kuna malaya alimfuta yesu na machozi akafutiwa dhambi zake zote!
 
Japo siamini uwepo wa mungu, lakini biblia inasema "sadaka ya mwenye dhambi ni chukizo mbele za mungu"
 
We nawe mbona unajichanganya...unaquote kifungu ambacho hata wewe huna imani nacho ili iweje?
Ndio utambue mnaibiwa mnapoambiwa mungu yupo. Si mbaya kushare na nyie kile cha uhakika
 
Unajuaje km bado anayafanya hayo mkuu?
 
Semeni nyie bhana si wengine tukisema wanadai eti tunahukumu
Unajua mnasahau kitu kimoja, kuwa Mungu anasamehe!
Pia moyo wa mtu jamani, who knws km kaamua kubadirika?
Simtetei lkn hamuwezi jua jamani!

Imeandikwa wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza!

BTW..... Nichek, upo wap
 
Yeye aishie kutoa hyo bakshishi ila asiseme ameokoka huku ni kuwadhalilisha wanaoabudu katika kweli.
Umejuaje kuwa we we waabudu kwa roho na kweli duniani hakuna mkamilifu wote tuna mapungufu. Na kwa Mungu hakuna dhambi kubwa wala ndogo. Sasa wabongo huwa MNA hukumu kiukubwa eti wa dhambi
 
Kwaajili ya movie ya UZINZI ya MAPENZI Lulu alipata Tuzo. Dini zetu zinaanguka kwa tamaa ya fedha
Wanaweza kukujibu kwa sababu zimetokana na filamu ya uzinzi watajengea choo kuunusuru huo mpunga kuliko kuiacha pesa ipotee
 
Unajua mnasahau kitu kimoja, kuwa Mungu anasamehe!
Pia moyo wa mtu jamani, who knws km kaamua kubadirika?
Simtetei lkn hamuwezi jua jamani!

Imeandikwa wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza!

BTW..... Nichek, upo wap
Tina...huyo aliokoka tangu akiwa gerezani. Sasa niambie toka ametoka gerezani amecheza makidamakida mangapi hapa mjini. Mungu anasamehe ndio lakini sio kwa staili ya kushika maiki kanisani afu unapitiliza guest. Nakuja sasa hivi
 
Mmh, anapitiliza guest!!!!
Haya no comment!

Yesu alisema alikuja kwa ajili ya wadhambi sio watakatifu!!

Nakusubiri!! Nichek wasap my
 
Kuna makanisa amabyo hata kibaka akinusurika kuuwawa kwa kichapo akakimbilia kanisani na kutoa sadaka hela aliyoiba na kumshukuru Mungu kwa kumnusuru na kifo, sadka hupokelew kwa vigelegele na mapambiao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…