Picha: Lulu atoa sadaka ya shukrani kanisani

Mmh, anapitiliza guest!!!!
Haya no comment!

Yesu alisema alikuja kwa ajili ya wadhambi sio watakatifu!!

Nakusubiri!! Nichek wasap my
Hahaa sijamaanisha kupitiliza kwa maana ya kupitiliza....unajua unaposema umeokoka unatakiwa uunyeshe ulimwengu ni nini maana ya kuokoka. Upo wasap namba gani mbona sikupati hem nicheki na yako
 
dah, ila kweli kadri tunavozidi kwenda mbele mnazidi kukua na kumfikia Mungu urefu, nadhani bdo kidogo watu mtaanza kumwita mjomba enu sasa.
Ulitaka wamtenge?! Una mawazo ya "KI-FARISAYO!"

Yesu hakufa msalabani kwa ajili ya watu "WAKAMILIFU" kama wewe, bali kwa ajili yetu "WATENDA MAOVU."

Unaikumbuka habari ya mwana mpotevu?

Yesu alikaa na watoza ushuru, wezi, makahaba, majambazi nk, ili awafundishe na kuwasaidia.

Kama mtawatenga wanaohitaji kuokolewa, neema ya wokovu wataipata wapi? Watasikia wapi Neno la Kristo ili waokolowe? Kwa sababu Imani huja kwa kusikia Neno la Mungu.

Hebu TAFAKARI maandiko haya;

"Basi watoza ushuru wote na wenye dhambi walikuwa wakimkaribia wamsikilize. Mafarisayo na waandishi wakanung'unika, wakisema, Mtu huyu huwakaribisha wenye dhambi, tena hula nao. Akawaambia mfano huu, akisema, Ni nani kwenu, mwenye kondoo mia, akipotewa na mmojawapo, asiyewaacha wale tisini na kenda nyikani, aende akamtafute yule aliyepotea hata amwone? Naye akiisha kumwona, humweka mabegani pake akifurahi. Na afikapo nyumbani kwake, huwaita rafiki zake na jirani zake, akawaambia, Furahini pamoja nami, kwa kuwa nimekwisha kumpata kondoo wangu aliyepotea. Nawaambia, Vivyo hivyo kutakuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye, kuliko kwa ajili ya wenye haki tisini na kenda ambao hawana haja ya kutubu." - Luka 15:1-7

Ubarikiwe!
 
Amina, ubarikiwe mkuu
 
Hakuna mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ambaye ni mkamilifu ,ila sijui inakuaje kwa wale watoto wa kwenye chupa
 
Kwa Mungu hatuendi baada ya kutua mizigo(dhambi) Bali tunamwendea tukiwa na mizigo kisha anatupumzisha mizigo. Pia tunakuwa kutoka utukufu hadi utukufu.
 
Makanisa yapo kwa ajili ya wadhambi na siyo watakatifu, hata maandiko yanasema Yesu aliwahi kuwaambia watu kwamba amekuja kwa ajili ya wale wenye dhambi.
ila sio kwa dhambi za lulu, mtoto kazidi yuke hakyamungu
 
Hahahahaaa mtavunja ndoa za watu jamani!
mwenzangu ngoja mama mchungaji amsikie, atafanya lulu afukuzwe kanisani, maana kale katoto kana pepo la kuiba waume za watu jamani
 
Mmh huyo Mchungaji ana Sexy body,
No wonder Lulu ameamua kuokoka ili mchungaji ampake upako wake.
 
Haka katoto kanapenda ushirikina kulikotukuka.
Leo kanisani,kesho kwa waganga.
kesho kutwa utakakuta kwa waganga uchi kimelala makaburini, eeh yesu ebu rudi kwanza jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…