Picha: Lulu Michael ndani ya Nollywood (Nigeria)

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Muigizaji mwenye mvuto wa aina yake bongo, elizabeth michael , maarufu kama lulu, ametua nchini Nigeria kwenye sherehe za ugawaji tuzo za Africa viewers choice awards(AMVA 2016) zinazofanyika nchini humo march 5(leo), ambapo msanii huyo amebahatika kuwa nominated kwenye tuzo hizo kubwa Africa, ambapo filamu yake ya MAPENZI YA MUNGU imechaguliwa kwenye category ya best film of East Africa.

Ukiachilia mbali lulu, wasanii wengine waliopo kwenye caregory hyo ni msanii mkongwe wa filamu nchini, Richie mtambalike ambapo filamu yake ya KITENDAWILI inashindanishwa na baadhi ya filamu katika kipengele cha filamu bora kutoka afrika mashariki.

Tunawatakia kila la kheri wasanii hao katika mchakato mzima, hili waendelee kutuwakilisha zaidi kimataifa
 

Attachments

  • 1457170991356.jpg
    93.3 KB · Views: 575
Wafanye kazi sasa sio kuishi kwa skendo.
 
Safi sana.
Naona Tanzania tumeanza kupenya sasa anga za kimataifa, kila mwaka lazima tuingie kwenye tuzo za kimataifa mbili tau
 
tecnomobile kma namuona vile
 
Hongera lulu .. Ika siku ingine waambie wasikupake hivyo huko usoni
 
Dhamana ya kanumba si ilikua inamzuia kusafiri nje ya nchi?(mojawapo ya masharti ya dhamana yake)
 
all the best lulu and richie, ipaishani nchi kama alivofanya platinenga.
 
Richie Richie ashachukua tuzo yake, hongera zake sana. Tumsubiri Lulu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…