meku7
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 375
- 266
Binafsi amenifanya nifurahi nae.... kweli machozi ya furaha. Ila hayatoki kirahisi atiiNi ngumu kucontrol emotions, mie tu nimejikuta nalia naye. Ni kitu ambacho amekitamani kwa siku nyingi na ni kikubwa kwake, sishangai mtu akilia. Richie tu mtu mzima lakini kama alidata fulani. Machozi ya furaha...