binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Ohhhh sawa, ntaitafuta niione. Sijui kwanini nimefurahi pamoja nae.Inaitwa mapenzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohhhh sawa, ntaitafuta niione. Sijui kwanini nimefurahi pamoja nae.Inaitwa mapenzi
Ukipigwa mawe usiombe msaada, ngoja waje wenyewe teh teh!Na Wema Sepetu alikua kwenye Category gani?
Ubinadamu shoga angu, ameachieve kitu kikubwa sana kwake, tufurahi tu pamoja nayeOhhhh sawa, ntaitafuta niione. Sijui kwanini nimefurahi pamoja nae.
Sijawahi kumpenda Lulu,na hiyo issue ya Kanumba ndio kabisaaaa!Mikono yake imelowa damu!
Ndo nani tecnoTecno mzigo huo umejileta
Ndo nani tecno
Hivi "shikana" huwa ni jina lake?Hongera sana Shikana. Japo huwa sifuatilii Bongo movie tangu kufariki kwa kanumba. Muda mwingine nikikuta mwanangu na dada wa kazi wanaangalia na mie natoa toa macho kidogo hapo. Btw ni muvi gani ilikuwa nominated?
Ni lulu wa Kenya au wakenya hawakuangaliaAnasema alikuwa akitamani kuipata kwa miaka 5 sasa leo ndo imetimiaaaa.. daaaa hongera zake aisee
kwa hiyo ametuwakilisha watanzania ni watu wa kulialia hovyo?Umeshasema wenzie, tatizo ninini hapo? Mwache alie kwa raha zake.
Wanalia kina Taylor swift na nick minaj sembuse yeye, its something emotional mtu unakua na furaha iliyopitiliza hadi unajikuta unalia.kwa hiyo ametuwakilisha watanzania ni watu wa kulialia hovyo?
kwa hiyo watanzania tuna tabia ya kulialia jibu swali acha kurukaruka coz sijaona mwingine akilia paleWanalia kina Taylor swift na nick minaj sembuse yeye, its something emotional mtu unakua na furaha iliyopitiliza hadi unajikuta unalia.