Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hahaha auditions tu za BSS watu wakikatwa tu huwa wanazimia wengine, sembuse kuliaWanalia kina Taylor swift na nick minaj sembuse yeye, its something emotional mtu unakua na furaha iliyopitiliza hadi unajikuta unalia.