PICHA-Maalum kwa wanawake wanaopenda kufuga rasta!!!

Me supendi izi.... Zinduna na wewe ni rasta?
 
Last edited by a moderator:
Hakika hata mbuyu ulianza kama mchicha.
I wish zangu ziwe ndefu kama hizo upesi. ...Ila napenda ziwe black
 
LADY RASTER.....BABY DREADS....LADY IRON....DAH MI NACHANGANYIKIWA NA MWANAMKE RASTER A ALWYS FIND MY SELF inlove with them...................
 
Number 9,dada na utu uzima wake naye hajataka kubaki nyuma!Nimemkubari hajataka kupotezea kwa kupaka piko ili "unga"kichwani usionekane.
 
Leo nimegundua rasta kwa mtu mweusi tiiiii....sio uwe miksa ndio inapendeza kama bob marley
 
hizo sio Rasta, hivyo ni vishungi/vifundo ama dread kwa kizungu. Rasta ni kifupisho cha Rastafarian ambayo ni imani inayoamini kwamba mfalme Haile Selasie ndiye Masihi/masiya (Ras Tafar ni jina halisi la Haile selasie kabla ya kuwa mfalme, alipewa jina la haile selasie lenye maana ya 'nguvu ya utatu mtakatifu' mara baada ya kushika ufalme wa ethiopia, hii ni sawa na mapapa wa kanisa katoliki hupewa majina mengine kama vile John, benedict, baada ya kupewa u-papa). Rastafarians huamini kwamba bustani ya Eden iko ethiopia kwani ufafanuzi wake kwenye kitabu cha MWANZO unatoa ushahidi kuwa ni ethiopia kwani jina KUSH limetajwa (soma Mwanzo kwa uhakika zaidi) vile vishungi vya nywele hufugwa muumini wa Rastafari anapoingia kwenye nadhiri ya kumtumikia Mungu kwenye maisha yake yote (rejea jinsi samson wa kwenye biblia alivyowekewa nadhiri ya kumtumikia Mungu na kuamriwa kutonyoa nywele)
 
am in love with this kind of chicks, najifeel poa sana kua na dem yupo natural af dreadlocks kichwani....kama yupo aisee ni pm fasta, u have space kabisa maishani mwangu. i'd lv my kidds to have them too....
 
Mweeeh!!! natamani ningekuwa ndio hako katoto...halafu kipaji chake cha uso kingekuwa ndio hizi lips zangu...

:wink2:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…