Onduru Ogy
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 1,136
- 1,179
Kuna vitu vingine vizuri sana katika hii Dunia ya Mwenyezi Mungu. Ni vigumu sana kukwepa vizuri hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
1
![]()
2
![]()
3
![]()
4
![]()
5
![]()
6
![]()
7
![]()
8
![]()
9
![]()
10
![]()
11
![]()
12
![]()
13
![]()
14
![]()
15
![]()
16
![]()
17
![]()
18
![]()
19
![]()
20
![]()
21
LADY RASTER.....BABY DREADS....LADY IRON....DAH MI NACHANGANYIKIWA NA MWANAMKE RASTER A ALWYS FIND MY SELF inlove with them...................
hivi toka wamefuga wamewahi kuzichana kweli ?
Wanamuenzi bob marley.sio siri wamependeza sana
Mimi nishakupendaNipende na mm bac
Me supendi izi.... Zinduna na wewe ni rasta?
Nipende na mm bac
No 11 sina usemi!!!kama kufungwa acha nifungwe
Rasta zikiangaliwa vizuri zinanoga. Otherwise ni uchafu unaotia kinyaa.
we ni baby rasii au lady ras au sister dread...kama uko hapo nshakupenda hahhaa
Ha haaa mie ni st dread
walaah nshakuchunuku cse siona ona kwenye profile yangu mi mkushii tena from east......KITU CHA ARUSHA
ha haaaa hiyo picha niya kwako? Safi sanaaaa