Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
-
- #21
Umesamehewa makosa yako yoteMa la mmko
Mama ako kaifungia JF.Unaongea kama nani?
Asiyejitambua ni wewe nyani wa mama Abdul.Hujitambui
Yaani wati wanaolipa kodi na bado wanadandia dirishani kama manyani halafu mabango na magari wanayotembelea wakusanya kodi yameandikwa "kazi na utu" hivi kwa kudandia huko utu unaweza kuwepo kwa namna gani mtoto wa miaka 12 au mzee wa miaka 60 anaweza kweli heka heka hizo?Utafikiri wanyama. Na hapo hapo nje kuna bango linasema Mama Kaboresha Usafiri.
Na siku moja basi liwake moto. Watateketea watu wengi sana. Yeah!
Hujawahi kusimama upande tofauti na wa watawala dhalimu!Mimi siyo Chawa ndugu yangu mtanzania
Mimi siyo ng'ombe tatizo ndio maana sijasombwa...Mbona wewe hujasombwa?
Huna akili na umekosa adabu .Mama ako kaifungia JF.
Wewe chawa unafuata nini huku?
Kumbe mnaipenda JF kiambieni kibibi chenu kiifungulie JF hili msiingie humu kwa kuibia kama wezi.
Wivu tu ndio unaokusumbuaMimi siyo ng'ombe tatizo ndio maana sijasombwa...
Nunua gari lako na Familia yakoYaani wati wanaolipa kodi na bado wanadandia dirishani kama manyani halafu mabango na magari wanayotembelea wakusanya kodi yameandikwa "kazi na utu" hivi kwa kudandia huko utu unaweza kuwepo kwa namna gani mtoto wa miaka 12 au mzee wa miaka 60 anaweza kweli heka heka hizo?
Gari katika ulimwengu wa kwanza ni hitaji la msingi na sio anasa hivyo lilishakuwepo zamaniNunua gari lako na Familia yako
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amepokelewa kishujaa kwa mapokezi mazito na ya kihistoria Chalinze Mkoani Pwani.
Ambapo katika Mapokezi hayo Maelfu kwa Maelfu ya Wananchi Wakiongozwa Na Rais wetu Mstaafu Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Walijitokeza kwa wingi kama mchanga wa Baharini kumlaki Mama yetu Mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Lakini pia katibu Mkuu wetu wa CCM Mheshimiwa Balozi Dkt Asha Rose Migiro Naibu katibu Mkuu Wa Umoja wa Mataifa Mstaafu naye alikuwepo katika Mapokezi hayo.
Rais wetu na Mama Yetu Mpendwa anaendelea kuonyesha Namna anavyopendwa na kukubalika machoni na mioyoni Mwa Watanzania. Anaendelea kuonyesha ni kiongozi wa watu mwenye baraka za watanzania. Anaendelea kuonyesha anaongoza Taifa na watu ambao wanamkubali ,kumpenda na Kumuamini sana. Ndio maana anasikilizwa na kukubalika kwa watu na kupata mapokezi mazito kuwahi kutokea katika historia ya Taifa letu.View attachment 3480442View attachment 3480443
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Chawa kama wewe unajua hata akili ni nini.Huna akili na umekosa adabu .
Ungeenda kwenye mitandao ya watoto wenzio ukawaambie huo utoto wakoNyuzi kama hizi members tuwe tunazisusia anaweka bandiko refuuu limejaa upuuZi
Mimi naongea ukweli na siyo kusifiaChawa kama wewe unajua hata akili ni nini.
We unachojua ni kuimba mapambio na kusifia mama wa wenzio ili upate mkate wako wa kila siku.
Mama alipata zero form 4!Mama anaupiga mwingi. Huu uzi hautapendwa na CHADEMA
ππUngeenda kwenye mitandao ya watoto wenzio ukawaambie huo utoto wako
Ndio maana nimesema uende kwa watoto wenzio huko waliozibuka akiliππ