Picha: Maelfu ya wanachama na wafuasi wa CHADEMA wakishiriki kupandisha bendera za chama chao huko Katoro Geita

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Je, hii ndio Sababu ya Sisty Nyahoza kutaka kuifungia Chadema?

FB_IMG_1778867628688.jpg
FB_IMG_1778867525189.jpg
FB_IMG_1778867532297.jpg
FB_IMG_1778867683921.jpg
 
Hiki CHAMA kisipofutwa sijui itakuwaje
Kuwa makini sana; njama zinatengenezwa wakati huu na akina Nyanihoza.
Ni wakati sahihi wa kubuni njia za kupambana na hao askari wa waovu moja kwa moja ili na wao wajue kuwa joto la ukombozi wa taifa hili litawafikia moja kwa moja; na watalipa gharama stahiki za hujuma zao kwa waTanzania.
 
Tayari washawekwa kibra
 
Back
Top Bottom