Picha: Maendeleo ya ujenzi hospitali ya wilaya Kivule(Amana ndogo)

Picha: Maendeleo ya ujenzi hospitali ya wilaya Kivule(Amana ndogo)

Kabewa

Senior Member
Joined
Oct 30, 2009
Posts
136
Reaction score
56
Mambo yanakwenda vizuri pongezi Kwa Serikali.

IMG_20231108_172801_094.jpg
IMG_20231108_172621_046.jpg
IMG_20231108_172456_236.jpg
IMG_20231108_173031_652.jpg
 
Serikali imejitahidi kujenga miundombinu mingi ya Afya kuanzia vituo vya afya, Hospitali za Wilaya, Mikoa n.k

Ila shida yake ni kukosa Vifaa tiba na Wataalamu tu, hali hii isipochukuliwa hatua miradi hii itabaki kama Tembo mweupe (White Elephant Project).
 
Hapa kutakuwa na tatizo, huu ujenzi umeanza kitambo sana kama picha ya sasa ndio hii basi kuna shida. Nadhani jengo la hospitali binafsi ya Kitonka pale Gongo la Mboto Mzambarauni linaukubwa zaidi ya hili ghorofa la Kivule hospital na yalianza kujengwa muda mmoja wakati Kitonka hospital is operational long time.
 
Nafikiri walielekeza nguvu kwenye majengo mengine unayoyaona hapo ni machache Kati ya mengi yaaliyo Bora na mazuri
 
Back
Top Bottom