Serikali imejitahidi kujenga miundombinu mingi ya Afya kuanzia vituo vya afya, Hospitali za Wilaya, Mikoa n.k
Ila shida yake ni kukosa Vifaa tiba na Wataalamu tu, hali hii isipochukuliwa hatua miradi hii itabaki kama Tembo mweupe (White Elephant Project).