Picha Mahakama Kuu Zanzibar - jengo latia aibu

Picha Mahakama Kuu Zanzibar - jengo latia aibu

Sasa mtajuaje ni la kihistoria? lol

ase3.JPG


Kwani mambo ya kale ni magofu tu?
 
Tatizo wanadhana na malengo ya kiutalii zaidi wanahisi yakikarabatiwa yatapoteza mvuto wa kimakumbusho yake xo litaachwa hivyo!!we unadhani ni kweli hawalioni!!
 
Back
Top Bottom