PICHA: Maisha miji mingi ni ghali bila sababu za msingi

PICHA: Maisha miji mingi ni ghali bila sababu za msingi

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Hapa ni Mpemba Tunduma hii ni room ya 35,000 very classic na wifi juu. Dar au Arusha hii utasikia 60 au 80 kabisa. Msikompliketi maisha.

MY TAKE: Weka bei chee kwenye bidhaa au huduma uza zaidi, Bakhresim theory of doing business.

20230824_211432.jpg
 
Wewe ni mjinga , DSM room kama hyo ukibahatisha Sana ni 100K , hyo 80 ni maporini huko kiluvya au uswahilini Temeke , mzunguko wa pesa DSM ni 50 times huko Tunduma ,
 
Ushasema Tunduma unalinganishaje Dar na Arusha hata bei ya kiwanja tu huko pia ni ndogo kuzidi hii miji mikubwa
 
Kuna jamaa ana guest chumba kama hicho ni 10,000 parking 10,000 utakula....utakunywa.....ana vyumba 70.
Kila siku vimejaaa.
 
Back
Top Bottom