Picha: Makao makuu ya Urusi yalipuliwa kwenye operesheni ya kuirejesha Kherson

Picha: Makao makuu ya Urusi yalipuliwa kwenye operesheni ya kuirejesha Kherson

Ukraine wana moyo wa ajabu sana
Yah
JamiiForums376846847.jpg
 
Nimesikia leo DW kuwa licha ya Ukraine kutumia nguvu zote kuhakikisha wanarudisha maeneo yaliyochukuliwa na Urusi lakini bado wamefail kwa kiasi kikubwa sana.
 
Nimesikia leo DW kuwa licha ya Ukraine kutumia nguvu zote kuhakikisha wanarudisha maeneo yaliyochukuliwa na Urusi lakini bado wamefail kwa kiasi kikubwa sana.

Endelea kusikia ila kibano kiko pale....
 
Urusi baada ya kuteka mji wa Kherson, walipata jeuri hadi ya kusimika makao makuu na kujichimbia, sasa kibao kimegeuzwa, operesheni fagia fagia na kufyatua, Ukraine wanakomboa ardhi ya mababu zao.....
makombora ya HIMARS yanachana anga.

FbZisdJX0AEOcyq

AUkrainian strike in occupied Kherson on Tuesday morning destroyed a building that was reportedly used as headquarters for the Russian military, according to local media reports.

Photos of BRAIN, formerly an electronics store in Kherson, which had been turned into a Russian military HQ, according to reports, show the aftermath of a strike as Ukraine kick-started a counteroffensive to retake the region that was seized by Russian forces in the early phases of the war.

The building, located in Kherson, was destroyed. Images of the damaged building were published on social media.

Open-source intelligence account OSINTtechnical shared photos on Twitter that it said showed the building before the attack, adding that the building is "reportedly a Russian headquarters."

Kumbe na wewe akili huna, hio picha ukute ipo Nakuru hapo. Naomba uthibitisho kuwa hilo jengo lipo Urusi
 
Kumbe na wewe akili huna, hio picha ukute ipo Nakuru hapo. Naomba uthibitisho kuwa hilo jengo lipo Urusi

Kipigo kiko pale pale, mtasema tunapost picha za Morogoro sijui Katavi mara Nakuru lakini huyu Mrusi mliyemtegemea anaendelea kuwatia aibu nyie waarabu wa Bongo.
 
Mkuu vipi wanajeshi wa Ukraine waliokufa wamefika wangapi mpaka sasa,maana Jana tuliishia 3700 according to Russia Defense Ministry
Wamekufa wote, kwa sasa Urusi inakaribia Kyiv
 
Back
Top Bottom