Picha: Makarani wa sensa Mbagala wagoma kukatwa tozo

Picha: Makarani wa sensa Mbagala wagoma kukatwa tozo

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
6C590AEB-80BC-4580-A97B-33609C2DA085.jpeg
Makarani wagoma kupokea 300,000 badala ya 340,000 walizotakiwa kulipwa, inasemekana kuna makato yamekatwa ya 40,000.
 
Hiyo tozo wamekatwa na wengine nchi nzima au ni huko Mbagala tu ndio wahusika wameamua kula kwa urefu wa kamba zao?

Hii nchi siku hizi ni kama haina kiongozi kuu, naona kila mmoja kwa nafasi yake anajiamulia cha kufanya.
 
hata mimi nilifikilia hivo maana kishikwambi kimoja ukipeleka kariakoo wakafuta kila kitu unauza laki 3 na laki 3 aliyopewa wakijumlisha inakuwa laki 6
Kuidai serikali kwa nguvu za kujitwalia mali yake ni kujivutia matatizo yatakayo zidi kiasi unacho idai.
 
hata mimi nilifikilia hivo maana kishikwambi kimoja ukipeleka kariakoo wakafuta kila kitu unauza laki 3 na laki 3 aliyopewa wakijumlisha inakuwa laki 6
View attachment 2343918 Makarani wagoma kupokea 300,000 badala ya 340,000 walizotakiwa kulipwa, inasemekana kuna makato yamekatwa ya 40,000.
Hao ni vibarua wanaolipwa kwa siku na sheria ya posho ya vibarua iko wazi, vibarua hawalipi kodi.
 
Back
Top Bottom