Picha: Makarani wa sensa Mbagala wagoma kukatwa tozo

Picha: Makarani wa sensa Mbagala wagoma kukatwa tozo

Wasilipwe wamefanya kazi ya kizalendo Tanzania tunapenda wazalendo
 
hata mimi nilifikilia hivo maana kishikwambi kimoja ukipeleka kariakoo wakafuta kila kitu unauza laki 3 na laki 3 aliyopewa wakijumlisha inakuwa laki 6
Hivyo vishikwambi kioo chenyewe tu unaona picha kwa shida!!
 
Nchi hii kwenye kulipana lazima itoke majanga

Ova
Tatizo nchi imejaa madalali kila kona yani. Sehemu yeyote ambako hela itatoka au kupita lazma waweko madalali. Magufuli alipambana sana kuwafyeka madalali maofisini. Na hao ndio waliokuwa mstari wa mbele kumpinga hadi siku aliokuwa maiti anazikwa.
 
Kwaiyo zile siku 7 plus 3 ndio malipo 300k??? Au mimi ndio sijaelewa
 
uku mtaani walikuwa wanahojii kimasihara wakijua watapewa posho ya maana

eti wewe ni mwanmke au mwanaumeee ...... nyumba yako ina thamani ganiii ... posho yao ina thamani ganiii
Kwan hayo maswali waliyatoa hewani 😀 si ndio waliyoandaliwa
 
hata mimi nilifikilia hivo maana kishikwambi kimoja ukipeleka kariakoo wakafuta kila kitu unauza laki 3 na laki 3 aliyopewa wakijumlisha inakuwa laki 6
[emoji23]akili kubwa mkuu
 
Back
Top Bottom