Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Rafiki huko hakuna bia, mechi wala kugegedana!Muda wa kwenda ukifika nishtue na mimi nihamie huko...
#Keep fighting
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafiki huko hakuna bia, mechi wala kugegedana!Muda wa kwenda ukifika nishtue na mimi nihamie huko...
#Keep fighting
Oxygen asilimia ngapi huko ukilinganisha na huku?
Mpango wa kurekebisha anga hewa huko umefikia wapi?
Me sio mfuasi wa kimasiharaLkn sharti ni lzm unipe tunda kimasihara! Wengine hatujawahi hata kukomenti kwenye ule uzi ni mwendo wa kupita Sina Cha kimasihara😜😜
Basi nitakukula seriously as you want isn't it..?Me sio mfuasi wa kimasihara
Bia zangu nitabeba, sijazoea kugegedana so ilo halina shida 😎Rafiki huko hakuna bia, mechi wala kugegedana!
Mpira je?Bia zangu nitabeba, sijazoea kugegedana so ilo halina shida [emoji41]
Ntaangalia kwenye simuMpira je?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Hapana lakini mfumo wa mzunguko au kwa hapa Earth (Day's) hauzidiani sana.
Dhanio lako tu,,Last days, Mzungu anaamini ataikimbia adhabu kwa kwnda sayari nyingne ila anasahau there will only be lake of fire na heaven and nothing else.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka iweje ili isiwe ndotoNdoto za kushiba ugali wa mchana!
Hamna dalili za kujibiwa hadi sasa.Hongera mkuu....vipi mrejesho wa vesta
Kila kitu ulichoandika hapa ni sahihi kabisa ila suala la wewe kama wewe kwenda Mars ni ndoto mkuu!Ulitaka iweje ili isiwe ndoto
Ina maana hakuna viumbe?Hamna dalili za kujibiwa hadi sasa.
Mimi ndio nimesema nataka kwenda Mars?Kila kitu ulichoandika hapa ni sahihi kabisa ila suala la wewe kama wewe kwenda Mars ni ndoto mkuu!