heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Uwanja gani huo
Hao ni wa Malaysia au wabongo wanaoishi/kusoma Malaysia?.
Anaitwa Naseeb Abdul,nat DOMO.Mimi nakukubali sanaaa, tena naunga mkono wanamuziki wote wakubwa wawe na ma publicist! Yaani unamsaidia sanaa Domo kuwa kwenye media hata ngumu kama hii JF! Huoni kina mtitu na batuli wamekugeza na wao! Keep up! Im very proud of you! Hubebi Sembe ama almaarufu kama white sugar wajifanyia kazi halali!
Japo naomba umwambie Penny apunguze ubonge nyanya na mkrogo mbuzi na ajifunze kutupia supraaa! Team Wema! *Wink*
Safari ni ndefu kama amelia kwa watu wachache hivyo je akijaza uwanja kama kina beyonce,lil Wayne, Michael Jackson
Work Hard Man
Sijakuelewa
Utabakia hivyo hivyo
Tafakari kabla ya kujibu... ulishawahi fika Malaysia? Unajua kuna weusi asilia ngapi? Kwa faida yako ni Kidogo mno mno mno!!! Lakini waliojaza huo ukumbi ni weusi sasa unataka utuaminishe kuwa hao ni Wamalay? Haina ubishi Diamond katika Malaysia na Kapiga show kali lakini wahudhuriaji wengi ni wale mwenye asili ya kiafrika na mataifa mengine wakiwamo wamalay na hilo c tatizo
Hueleweki