picha:Malaysian people u made me cry for ur love(diamond)

picha:Malaysian people u made me cry for ur love(diamond)

Mimi nakukubali sanaaa, tena naunga mkono wanamuziki wote wakubwa wawe na ma publicist! Yaani unamsaidia sanaa Domo kuwa kwenye media hata ngumu kama hii JF! Huoni kina mtitu na batuli wamekugeza na wao! Keep up! Im very proud of you! Hubebi Sembe ama almaarufu kama white sugar wajifanyia kazi halali!

Japo naomba umwambie Penny apunguze ubonge nyanya na mkrogo mbuzi na ajifunze kutupia supraaa! Team Wema! *Wink*
 
Safari ni ndefu kama amelia kwa watu wachache hivyo je akijaza uwanja kama kina beyonce,lil Wayne, Michael Jackson

Work Hard Man
 
lara 1 bora uache majungu. Unajuaje domo kashtukia godoro la comfy ni bimba kuliko orthopedic?

U dont pendezea kuwa stereotype banaa. Ngoja nikushtaki kwa Kiranga.
 
Last edited by a moderator:
Keep it up dogo... unakimbiza c Tz tu bali East Africa jitahidi usilewe sifa but work hard uibambe Afrika yote Inshallah na dunia kwa ujumla Hard work pays....but uckubali tena kuwa punda
 
sijaelewa,hebu nihamie jukwaa letu la malumbano ya siasa
 
Mimi nakukubali sanaaa, tena naunga mkono wanamuziki wote wakubwa wawe na ma publicist! Yaani unamsaidia sanaa Domo kuwa kwenye media hata ngumu kama hii JF! Huoni kina mtitu na batuli wamekugeza na wao! Keep up! Im very proud of you! Hubebi Sembe ama almaarufu kama white sugar wajifanyia kazi halali!

Japo naomba umwambie Penny apunguze ubonge nyanya na mkrogo mbuzi na ajifunze kutupia supraaa! Team Wema! *Wink*
Anaitwa Naseeb Abdul,nat DOMO.
n thanx kwa kunipa moyo,sasa hivi ninamwonyesha maoni yako.
kuhusu Peny i think screen zinakudanganya,wait ukionana nae utafuta maneno yako
.........WCB 4 life........
View attachment 113345
 
Sijakuelewa

Sasa hujaelewa nini hapo? Ushauri wangu kwako kama umeamua kuwa msemaji wa Diamond jitahidi upstairs kuwe very sharp na Uwe na diplomasia ya hali ya juu mno, la sivyo unaweza kujikuta unaharibu badala ya kutengeneza...! Swali rahisi kama hilo hapo juu umeshindwa kulijibu itakuwaje ukiulizwa tricky question?
 
Utabakia hivyo hivyo

Tafakari kabla ya kujibu... ulishawahi fika Malaysia? Unajua kuna weusi asilia ngapi? Kwa faida yako ni Kidogo mno mno mno!!! Lakini waliojaza huo ukumbi ni weusi sasa unataka utuaminishe kuwa hao ni Wamalay? Haina ubishi Diamond katika Malaysia na Kapiga show kali lakini wahudhuriaji wengi ni wale mwenye asili ya kiafrika na mataifa mengine wakiwamo wamalay na hilo c tatizo
 
Hueleweki
 
Hueleweki

Kaka ni swali tu unaulizwa kwa nia njema lakini unaelekea kulikwepa kwa majibu ya mkato. Umeilizwa je waliojaza ukumbi ni Wamalaysia au Watanzania waishio Malaysia? Ni swali simple na halina ubaya wowote. Au bado huelewi?
 
Back
Top Bottom