Picha: Mama Diamond akila bata

Picha: Mama Diamond akila bata

Duh, Bongo bana.

Eti hapo anakula bata!

CCM imetufanya kitu mbaya mpaka basic issues tunaona kama anasa.
 
Ndio maana najitahidi sana nile bata ujanani nisije nikageuka kituko uzeeni
Ana uzee gani huyo? Hiyo mbona bado mashine tu? Ebu mwenye namba yake anipe tafadhali.
 
Bongo kuna ushamba wa kiwango cha juu,hivi kuogelea napo ndiyo kula bata?
 
Nakuona mama D Katika ubora wako, hutaki shida mwenzangu,swimming ya mwanao kwa nini usijiachie?, ebu wakutue mama wa watu,endelea kula bata mwaego, ila zari umemuomba ruhusa? Anajua? Maana nyumba ya watu hiyo mama
46debd2bc59218a226ad9a04fb7f0616.jpg
Huyu mama akiona hii koment pale mwisho ulivyomjambia lazima achanganyikiwe .....mna maneno ya kutia ugonjwa nyinyi?
 
Africa mnashangaa, wakati nchi za magharibi ni kawaida tu tena wanaoga bwana moja mama, baba na watoto huku Africa nongwa
Baada ya fainali za Uero Ronaldo alienda kula bata na familia yake uko kwenye visiwa flan ghali sana kuna picha alipiga na mama yake hatari
 
Back
Top Bottom