Ana uzee gani huyo? Hiyo mbona bado mashine tu? Ebu mwenye namba yake anipe tafadhali.Ndio maana najitahidi sana nile bata ujanani nisije nikageuka kituko uzeeni
Hata mimi nmeshangaa mkuuHivi kuogelea ndiyo kula bata??
What a comment! Umefikiri vyema sana mkuu!Ndio maana najitahidi sana nile bata ujanani nisije nikageuka kituko uzeeni
Asante kwa jibuWanatimiza masharti ya utajiri!
Nimeona mkuu, kipenz cha watu is in town!!Acheni maneno king kiba karudi nchini...
MhMkuu vijana wanataka utajiri wa muda mfupi kwa masharti makubwa kama hayo ,
[emoji40] [emoji40] [emoji40]
Utoke wapi mkuu mama ana wivu balaa,wakiwa chumbani wanatoa miguno si atakuwa anasikilizia? uhuru upo kweli hapo?
Mmmh binamu, Mungu anakuona, ngoja nije pm
Huyu mama akiona hii koment pale mwisho ulivyomjambia lazima achanganyikiwe .....mna maneno ya kutia ugonjwa nyinyi?Nakuona mama D Katika ubora wako, hutaki shida mwenzangu,swimming ya mwanao kwa nini usijiachie?, ebu wakutue mama wa watu,endelea kula bata mwaego, ila zari umemuomba ruhusa? Anajua? Maana nyumba ya watu hiyo mama
Baada ya fainali za Uero Ronaldo alienda kula bata na familia yake uko kwenye visiwa flan ghali sana kuna picha alipiga na mama yake hatariAfrica mnashangaa, wakati nchi za magharibi ni kawaida tu tena wanaoga bwana moja mama, baba na watoto huku Africa nongwa
hahaha akili za watanzania za ajabu sana eti kuna mtu kasema anajitahidi kufanya mambo mapema ili asiwe kituko kama mama dai ?Hivi kuogelea ndiyo kula bata??
Si mpaka upate hela wewe bwege mwenzio kasubiri mpaka uzazi umelipaNdio maana natafuta hela mapema yasije yakanikuta ya mama diamond