Picha: Mama Wema akiwa Nairobi kumuona Tundu lissu

Picha: Mama Wema akiwa Nairobi kumuona Tundu lissu

Wakomae huko huko wasijalibu kuvua gwanda kamanda sifa yake kupambana wala si kuogopa mashambulizi
 
Wakomae huko huko wasijalibu kuvua gwanda kamanda sifa yake kupambana wala si kuogopa mashambulizi
b24c2e799de52aa0bc36fc77059e7f24.jpg
 
Mnataka kuleta siasa za Maji taka kama H.Polepole,Huyo ni mgonjwa anapaswa kujuliwa hali na Watanzania wenzie
 
Huyu Lissu achague wa kwenda kumsalimia wengine ni gundu tu.
 
Amemkata kidomo Mange.

Time will tell ,Mungu akipenda January tutakuja kuiupdate hii comment yako wakati huo walishahamia ccm.

Wema kabanwa kona mbay ya kesi ,wanataka kumfunga kama Lulu watu wakilalamika wataambiwa hata Lulu kafungwa kwa wema pia sio ajabu
 
Back
Top Bottom