Picha: Manhattan ya Sinza(crib) ya Martin Kadinda

Madanga ndio nn
 
We nawe...usitetee uchafu hapa...aliyesema mwanaume lazima awe mchafu nani?

Jaman ila apo na mimi namtetea, kuna wanaume nadhifu sana yani wanajipenda halafu martin ni mwanamitindo so suala la kupamba nyumba yake kiasi hiko wala sio maajabu ni utanashati tu
 
Mola amnusuru jamani....lijidume la nguvu kama lile kuzibuliwa mtaro..!??? Mola amponye....!

Halafu nasikia alifiwa...sijui kashamaliza eda...manake nasikia alijiliza hatariiii....dunia hiii....!

Ahahah wapi tena? Nasikia yule jamaa aliyekufa juzi sijui anaitwa yunus, nae alikuwa mchepuko wake, nasikia martin alilia huyo halafu juzi yake alimpost insta baada ya siku mbil akafa
 
poapoa mr Robert, nina exclusive nyuzi kubwa ya bwana dangote huko germany jinsi wazungu wanavyojiandaa kumpokea kwa mbwembwe hadi Chancelor Merkel anaweza akahudhuria kwenye li show lake, details namwaga later
Mimi ninapokukubali sir Maatope hapo tu kwa exclusive news.
 
poapoa mr Robert, nina exclusive nyuzi kubwa ya bwana dangote huko germany jinsi wazungu wanavyojiandaa kumpokea kwa mbwembwe hadi Chancelor Merkel anaweza akahudhuria kwenye li show lake, details namwaga later

Ebu usituchefue aba, unatuaribia maubuyu yetu, kama unataka kumwaga details za ndomo kafungue thread uko umwage, unatuaribia umbea apa
 
Ebu usituchefue aba, unatuaribia maubuyu yetu, kama unataka kumwaga details za ndomo kafungue thread uko umwage, unatuaribia umbea apa
nakusaidia ku dilute ubuyu wako maana wewe dakika mbili tu utasikia umekula ban mpaka next week
 
Hahaaaaa uwiiiiii
 
Ushamba kweli ni mzigo, yaani kwa fenicha hizo tu ndo anajigamba mitandaoni? Dah
Ova
 
Kadinda bwabwa mkuu... nlisoma nae secondary akafukuzwa kwa uouo ushoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…