Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,709
Huu sio unadhifu wa kiume ndani ya nyumba...
We nawe...usitetee uchafu hapa...aliyesema mwanaume lazima awe mchafu nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu sio unadhifu wa kiume ndani ya nyumba...
Wasanii wenyew anao wa manage kazi zao hazijulikani, toka alivyo mmnage wema hadi anamuacha hakuna ata movie moja au kazi aliyomsimamia zaidi ya kumkuwadia kwa wanaume
Labda kazi zake za mitindo zinamlipa, ila apo madanga lazima yahusike, maana martin kwa kupenda wanaume wenye hela hajambo na lisula lake kama maiti iliyokaa mochwari mwaka mzima mfyuu
Madanga ndio nn
Mabuzi, wawezeshaji, wachunwaji....yote majibu
We nawe...usitetee uchafu hapa...aliyesema mwanaume lazima awe mchafu nani?
kumbe kuuza kijambio kunalipa?
kumbe kuuza kijambio kunalipa?
Mola amnusuru jamani....lijidume la nguvu kama lile kuzibuliwa mtaro..!??? Mola amponye....!
Halafu nasikia alifiwa...sijui kashamaliza eda...manake nasikia alijiliza hatariiii....dunia hiii....!
poapoa mr Robert, nina exclusive nyuzi kubwa ya bwana dangote huko germany jinsi wazungu wanavyojiandaa kumpokea kwa mbwembwe hadi Chancelor Merkel anaweza akahudhuria kwenye li show lake, details namwaga laterHabari yako sir Maatope.
Kajenga kwao sinza kwa baba yake, yani kwao kulikuwa na kauwanja kamebaki sasa jamaa ndo akaporomosha kidude chake umo
Mimi ninapokukubali sir Maatope hapo tu kwa exclusive news.poapoa mr Robert, nina exclusive nyuzi kubwa ya bwana dangote huko germany jinsi wazungu wanavyojiandaa kumpokea kwa mbwembwe hadi Chancelor Merkel anaweza akahudhuria kwenye li show lake, details namwaga later
poapoa mr Robert, nina exclusive nyuzi kubwa ya bwana dangote huko germany jinsi wazungu wanavyojiandaa kumpokea kwa mbwembwe hadi Chancelor Merkel anaweza akahudhuria kwenye li show lake, details namwaga later
nakusaidia ku dilute ubuyu wako maana wewe dakika mbili tu utasikia umekula ban mpaka next weekEbu usituchefue aba, unatuaribia maubuyu yetu, kama unataka kumwaga details za ndomo kafungue thread uko umwage, unatuaribia umbea apa
Wasanii wenyew anao wa manage kazi zao hazijulikani, toka alivyo mmnage wema hadi anamuacha hakuna ata movie moja au kazi aliyomsimamia zaidi ya kumkuwadia kwa wanaume
Labda kazi zake za mitindo zinamlipa, ila apo madanga lazima yahusike, maana martin kwa kupenda wanaume wenye hela hajambo na lisula lake kama maiti iliyokaa mochwari mwaka mzima mfyuu
Afadhali kumbe ana akili zake tuu....!
Hivi haya muna uhakika nao au ndiyo mambo ya vijiweni?? Mwenye tukio halisi aliweke hadhani ili tuwe na uhakika kweli jamaa ni bwabwa, hizi story za kusikia tu anamegwa anamegwa lakini hakuna tukio hata moja liliwahi kusemwa kuwa alimegwa sehemu fulani na fulani!! Kwani si mnatumia ID fake, mwageni nyuuuz hapa tupate uthibitisho