Kila mtu anasema hvyo hvyo, sijui alisoma tosamaganga
nakusaidia ku dilute ubuyu wako maana wewe dakika mbili tu utasikia umekula ban mpaka next week
Kupanga room mbili na furniture sio achievement ...we have to think big ..

Kwahiyo still anakaa kwa baba sio kwake? na mbona sikioni chakumfanya aseme mengi wakati mambo yote ni yakawaida tuu...........Kajenga kwao sinza kwa baba yake, yani kwao kulikuwa na kauwanja kamebaki sasa jamaa ndo akaporomosha kidude chake umo
jamani basi mi nlijua Martin kafiwa na baba yake.maanake niliposoma ile message instagram at baba yake amemtoka alikua anamjua vuzuri nikajua baba yake kweli.sikutegemea mwanaume anamlilia mwanaume ambaye si ndugu yake na kumwita baba.mdau asante kwa taarifa maanake nilishangaa kwa yeye kumqita kijana mwenziebaba na watu wanamwambia kabisa pole jamani dunia kweli imeisha.

Hiyo nyumba yake au kapanga?