Picha: Manhattan ya Sinza(crib) ya Martin Kadinda

Picha nyengine musiweke freeg na kiti cha kunyea hapohapo wakatimwengine pozzz .
 
Kupanga room mbili na furniture sio achievement ...we have to think big ..

Kibongo bongo walau amepiga hatua ukilinganisha na wasanii wengine...walau amejenga kuliko wengine wanaohangaika kupanga maghorofa....
 
nimeona friji sebuleni jamani friji kwake jikoni sio sebuleni alafu anajiita disigner
 
Kajenga kwao sinza kwa baba yake, yani kwao kulikuwa na kauwanja kamebaki sasa jamaa ndo akaporomosha kidude chake umo
Kwahiyo still anakaa kwa baba sio kwake? na mbona sikioni chakumfanya aseme mengi wakati mambo yote ni yakawaida tuu...........
 
warumi we pia tuambie maisha yako yakoje,wanaokufahamu wanadai nawe una mengi ya kusimulia.mf wengi wanamin ww ni demu
 
Last edited by a moderator:

Duh mkuu, tupe izo nyepesi nyepesi....ina maana warumi nae ni kibaiskeli?
 
Last edited by a moderator:
jamani basi mi nlijua Martin kafiwa na baba yake.maanake niliposoma ile message instagram at baba yake amemtoka alikua anamjua vuzuri nikajua baba yake kweli.sikutegemea mwanaume anamlilia mwanaume ambaye si ndugu yake na kumwita baba.mdau asante kwa taarifa maanake nilishangaa kwa yeye kumqita kijana mwenziebaba na watu wanamwambia kabisa pole jamani dunia kweli imeisha.
 
Mapenzi kizunguzungu mkuu.
 
warumi we pia tuambie maisha yako yakoje,wanaokufahamu wanadai nawe una mengi ya kusimulia.mf wengi wanamin ww ni demu

KWani na mimi ni celebrity au kioo cha jamii?? Nani anayenijua mjini apa? Kuhangaika na warumi ni sawa na kuhangaika na sanamu utajisumbua
 
Last edited by a moderator:
jamani basi mi nlijua Martin kafiwa na baba yake.maanake niliposoma ile message instagram at baba yake amemtoka alikua anamjua vuzuri nikajua baba yake kweli.sikutegemea mwanaume anamlilia mwanaume ambaye si ndugu yake na kumwita baba.mdau asante kwa taarifa maanake nilishangaa kwa yeye kumqita kijana mwenziebaba na watu wanamwambia kabisa pole jamani dunia kweli imeisha.

Ndo ivo binamu mambo ya digital
 
Hiyo ni nyumba au stoo??

Mbona vitu vimejaa sana?

Apunguze mavitu italeta mvuto
 
Back
Top Bottom