Idugunde JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 7,748 Reaction score 10,288 Sep 24, 2025 #1 Mara kwa mara alipokuwa akisali pale Lushoto Cathedral alipomaliza mahubiri alikuwa akiomba Mungu amlinde na kumponya Tundu Lissu. Pumzika kwa amani mtumishi wa Mungu. Haukupenda dhuluma na kujipendekeza
Mara kwa mara alipokuwa akisali pale Lushoto Cathedral alipomaliza mahubiri alikuwa akiomba Mungu amlinde na kumponya Tundu Lissu. Pumzika kwa amani mtumishi wa Mungu. Haukupenda dhuluma na kujipendekeza
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,156 Sep 24, 2025 #2 Apumzike kwa amani
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,583 Reaction score 42,992 Sep 24, 2025 #3 Mtu mwema
Mrao keryo JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 2,301 Reaction score 3,042 Sep 25, 2025 #4 Nilisikiliza wasifu wake kipitia Upendo TV alipokuwa anaagwa juzi,kwa kweli alikuwa mtu wa HAKI.Mungu ampokee huko mbinguni Amen
Nilisikiliza wasifu wake kipitia Upendo TV alipokuwa anaagwa juzi,kwa kweli alikuwa mtu wa HAKI.Mungu ampokee huko mbinguni Amen
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,696 Reaction score 109,218 Sep 25, 2025 #5 Hakika alikuwa anafanya jambo zuri, nitawaalika masheikh wenzangu kadhaa, kisha tutamuombea dua kwa mungu ninaemuabudu mimi, Apumzike salama.
Hakika alikuwa anafanya jambo zuri, nitawaalika masheikh wenzangu kadhaa, kisha tutamuombea dua kwa mungu ninaemuabudu mimi, Apumzike salama.
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 9,103 Reaction score 15,613 Sep 25, 2025 #6 Maccm hayataki kusikia neno HAKI!.
Joel Platinum Member Joined Sep 1, 2007 Posts 1,087 Reaction score 635 Sep 25, 2025 #7 Huyu yupo kundi la Askofu Bagonza, Askofu Hotay, Marehemu Askofu John Ramadhan. Maaskofu wapenda haki na kweli..
Huyu yupo kundi la Askofu Bagonza, Askofu Hotay, Marehemu Askofu John Ramadhan. Maaskofu wapenda haki na kweli..
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 15,126 Reaction score 35,515 Sep 25, 2025 #8 Apumzike kwa amani mpenda haki