Hahahaa binamu timu upepo huyooo...utakovumia ndo huko hukoo....
Hahahaa binamu timu upepo huyooo...utakovumia ndo huko hukoo....
Hhhhhaaaaaa chezeaaa zarinaaaa
Duuu namis maubuyuuuuuu ****.nina mie,happy new year
Duuu namis maubuyuuuuuu ****.nina mie,happy new year
Heheheee pole shoga angu....utafanyaje ndo ukubwa huo...ila siku hizi kuna maubuyu matamu kama neneee....
Same to u shoga angu...umbea huu...ntasutwa na maji...
Ahsante my mnataka hadi kunifuta team dai nyieeee nitawapasuaaaaaaaaa memeeee
Aaah huonekanii ati, nikajua ushahamia team upepo...labda siku hizi uko team rich mavokooo...lol
Hhhhaaaaaaaaaaaaa mpaka nimejampaaaa
Hahahaaa unadhani timu upepo wana maana, unakovumia ndo wanapoangukiaa...
Ushawahi kuliona?Akivua nguo ndo unaweza kuzimia..ana simi kama dole gumba lililotoka ukucha kwa kujikwaa
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa LOL alishakuvulia nguoAkivua nguo ndo unaweza kuzimia..ana simi kama dole gumba lililotoka ukucha kwa kujikwaa