Picha: Martin, Aunty wazua utata ukumbini

Picha: Martin, Aunty wazua utata ukumbini

halafu zari yupo classic sana, yani picha zake ukimuona yani kama kim vile, madam kashaoza akajifananishe na akina mwantumu wa kule tandika zari ni maji marefu

Heee imekuwaje we si team wema.....eti Dinazarde
 
Last edited by a moderator:
Mmmhhh namwelewa sana martin ila mambo yake nachoka kabisaaa
 
Heheheee pole shoga angu....utafanyaje ndo ukubwa huo...ila siku hizi kuna maubuyu matamu kama neneee....

Ahsante my mnataka hadi kunifuta team dai nyieeee nitawapasuaaaaaaaaa memeeee
 
Wema amechuja hapo anaonekama mtu mzimaa,sijui stress.........
 
Back
Top Bottom