Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo alama itakusaidia nini huko uendako?Life well lived!
Najiuliza siku nikiitwa kurudi nipotoka, pale pumzi yangu itakapotwaliwa, ntaacha alama au kumbukumbu gani Kwa familia, marafiki, wafanyakazi, jamii, taifa na yeyote niliyewahi kufahamiana nae?
Heri ya mwaka mpya Kwa wanajukwaa wote wa JF.
Sio Kwa ajili yangu, nimeandika Kwa wale ntakaowaacha. Mie nikishakufa si biashara imeisha! Ndio maana haujaona naongelea ntazikwaje, iwe na manispaa, nitupee baharini, nichomwe, nifukiwe, haitakua na tija Tena kwangu.Hiyo alama itakusaidia nini huko uendako?