Picha: Mashabiki wakitoa heshima za mwisho kwa 'Mfalme wa Soka' Pele

Life well lived!

Najiuliza siku nikiitwa kurudi nipotoka, pale pumzi yangu itakapotwaliwa, ntaacha alama au kumbukumbu gani Kwa familia, marafiki, wafanyakazi, jamii, taifa na yeyote niliyewahi kufahamiana nae?

Heri ya mwaka mpya Kwa wanajukwaa wote wa JF.
 
Hiyo alama itakusaidia nini huko uendako?
 
Hiyo alama itakusaidia nini huko uendako?
Sio Kwa ajili yangu, nimeandika Kwa wale ntakaowaacha. Mie nikishakufa si biashara imeisha! Ndio maana haujaona naongelea ntazikwaje, iwe na manispaa, nitupee baharini, nichomwe, nifukiwe, haitakua na tija Tena kwangu.

Ntaacha kumbukumbu gani Kwa watu walionifaham kuanzia watoto, Mke, majirani na jamii Kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…