Picha: Maspika Wastaafu na Spika mpya, Job Ndugai hayumo

Picha: Maspika Wastaafu na Spika mpya, Job Ndugai hayumo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwa sisi viona mbali jambo hili laweza kuleta Tafsiri nyingi sana

Spika_mpya_Dkt._Tulia_Ackson_katika_picha_ya_pamoja_na_maspika_wastaafu%2C_Anna_Makinda_(kusho...jpg
 
Mimi namwelewa Ndugai sii kazi rahisi hivyo bado anaugulia maumivu ya yaliyomtokea. Tumwache atakaa sawa tu. Alifanya maovu mengi pia yanamuumiza mbele ya jamii. Ukipewa uongozi kumbuka ile ni dhamana tu usijisahau.
Duh !
 
Hahaaa!
Wapi Ndugai?
Wapi mgogo?
Kwisha habari yake, wanawake wakiCCM wamemchamba, kumvua nguo na kumtimua kwa aibu kubwa.
 
Ndugai amekuwa mdogo kuliko kidonge cha Piritoni. Mgogo wa watu kaamua kuingia mitini baada ya kukimbizwa mbio mbio na kinyago cha kike kutoka huko ukojanini.
 
Mimi namwelewa Ndugai sii kazi rahisi hivyo bado anaugulia maumivu ya yaliyomtokea. Tumwache atakaa sawa tu. Alifanya maovu mengi pia yanamuumiza mbele ya jamii. Ukipewa uongozi kumbuka ile ni dhamana tu usijisahau.
Alimnyanyasa sana LIsu
 
Yustino yuko biza na mikeka yake ya mbet… muacheni
 
Back
Top Bottom