Picha: Maspika Wastaafu na Spika mpya, Job Ndugai hayumo

Picha: Maspika Wastaafu na Spika mpya, Job Ndugai hayumo

Hata Mbowe hatokuwemo kwenye picha ijayo ya Makamu kama Mwenyekiti mpya chadema, kila kitu kimepangwa.
It’s a Coup !
 
Mimi namwelewa Ndugai sii kazi rahisi hivyo bado anaugulia maumivu ya yaliyomtokea. Tumwache atakaa sawa tu. Alifanya maovu mengi pia yanamuumiza mbele ya jamii. Ukipewa uongozi kumbuka ile ni dhamana tu usijisahau.
Kuna nyepesi zinasema baada ya kustaafishwa alipelekwa Ujerumani akapumzike kidogo, kupisha mchakato wa kumpata Spika mwingine.Though I'm not sure km ni sahihi.
 
Back
Top Bottom