Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Yeye amestaafishwa
Weeee !!!Yeye amestaafishwa
Duh !Mimi namwelewa Ndugai sii kazi rahisi hivyo bado anaugulia maumivu ya yaliyomtokea. Tumwache atakaa sawa tu. Alifanya maovu mengi pia yanamuumiza mbele ya jamii. Ukipewa uongozi kumbuka ile ni dhamana tu usijisahau.
Yupo bado anafever 2025 panadol aliyopata haimsaidii
Hakuna kati ya hao aliyelitendea bunge haki. It is rubbish!
Hivi na Lowasa alistaafishwa?Yeye amestaafishwa
Umesahau kuandika nchi itatetemeka.
Alimnyanyasa sana LIsuMimi namwelewa Ndugai sii kazi rahisi hivyo bado anaugulia maumivu ya yaliyomtokea. Tumwache atakaa sawa tu. Alifanya maovu mengi pia yanamuumiza mbele ya jamii. Ukipewa uongozi kumbuka ile ni dhamana tu usijisahau.
Kama ni ndoa Jobo sio mjane ila mtalaka wa madaraka
Ikiletwa toka ufipa inakuwa issue kubwa, ona wanavyotiririka humu.Mbona issue ndogo tu hiyo