Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Last Friday night nilikuwa Mzalendo pub kwenye shoo ya Machozi band, kuna dada mmoja aliniboa sana. Alikuwa anapuliza moshi kama treni na kutukera wote tuliokuwa tumekaa meza ya mbele yake. Watu walipojaribu kumsihi azime fegi yake alikuja juu na kusema kila mtu na starehe yake, asiyependa fegi akae mbali! Wallah nilisikia hasira sana na nilitamani nimpige vichwa ila kwa heshima ya shemeji yenu nilijizuia. Hivi Tanzania kuna sheria yoyote kuhusiana na uvutaji wa sigara kwenye public?