Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Wadau hamjamboni nyote?
A man with two balls ana shauri kuhusu pesa za mwanaume asie mjuaApunguze show off za media apambane na maisha ya chini ya carpet maana safari bado sanaa.....afikirie kuwekeza kimya kimya bonds na real estate kama ameamua Tz ndio nyumbani kwao ....kwa pili umri unaenda mpira utaisha siku atajikuta Singida then Tabora then Mashujaa....Dodoma Jiji ndio mwisho......awekeze maana mkono mtupu haulambwi
Napenda tu kuuliza, Je Aziz K ni Msukuma?
Si vibaya.A man with two balls ana shauri kuhusu pesa za mwanaume asie mjua
Si vibaya.A man with two balls ana shauri kuhusu pesa za mwanaume asie mjua
Apunguze show offA man with two balls ana shauri kuhusu pesa za mwanaume asie mjua
BondsApunguze show off za media apambane na maisha ya chini ya carpet maana safari bado sanaa.....afikirie kuwekeza kimya kimya bonds na real estate kama ameamua Tz ndio nyumbani kwao ....kwa pili umri unaenda mpira utaisha siku atajikuta Singida then Tabora then Mashujaa....Dodoma Jiji ndio mwisho......awekeze maana mkono mtupu haulambwi
Hana mke?
We umewekeza wapi? Tuanze na wewe kwanza ili tujue unacho kishauri ni sahihi au?Apunguze show off za media apambane na maisha ya chini ya carpet maana safari bado sanaa.....afikirie kuwekeza kimya kimya bonds na real estate kama ameamua Tz ndio nyumbani kwao ....kwa pili umri unaenda mpira utaisha siku atajikuta Singida then Tabora then Mashujaa....Dodoma Jiji ndio mwisho......awekeze maana mkono mtupu haulambwi